Huku idadi ya vifo ikikaribia 240 na takriban watu 235,000 wakiwa hawana makazi, Wakenya wanaomboleza kuwapoteza wapendwa wao na kujaribu kujijenga tena baada ya wiki za mvua kubwa ambazo zimesababisha mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi. Mvua bado …